Yanga imefikisha pointi 10 baada ya kushinda mechi zake tatu na kutoa sare moja, ikiwarudisha Simba hadia nafasi ya pili ikiwa na pointi tisa, sawa na Pamba Jiji iliyo nafasi ya tatu.
Kocha wa zamani wa timu ya taifa ya Nigeria, Gernot Rohr, ametabiri matokeo ya fainali ya mchujo wa kufuzu Kombe la Dunia ...
STRAIKA wa England na Bayern Munich, Harry Kane anaendelea kufumania nyavu kwa kasi ya ajabu msimu huu, lakini ni kama ...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Ureno (PFF), limetoa taarifa ya kutokubaliana na adhabu aliyopewa nahodha na mshambuliaji wa ...
MAMBO yanabadilika. Hivyo ndivyo unavyoweza kusema unapoizungumzia Mtibwa Sugar ya sasa kutokana na kuingia kwenye mfumo wa ...
Hatua ya Yanga kuichukua hoteli hiyo itaifanya FAR Rabat kuangukia hoteli nyingine (jina tunalo), ambayo ilitumiwa na wenzao ...
ISLAM Makhachev, mpiganaji wa mchanganyiko wa sanaa za mapigano (MMA) amefanya kweli baada ya kumzidi ujanja Jack Della Maddalena katika pambano la raundi tano na kutwaa ubingwa wa UFC uzito ...
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Wanawake Bara, JKT Queens wametupwa nje kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya ...
KIUNGO mshambuliaji wa Fountain Gate, Jimmyson Mwanuke amezitaja Simba na Singida Black Stars kuwa ndizo timu ambazo ...
MABINGWA wa soka wa Ufaransa na Ligi ya Mabingwa Ulaya, Paris St-Germain wameripotiwa kutengeneza mchakato madhubuti kabisa ...
KATIKA maisha kuna ndoto ambazo huja mapema, lakini safari ya kuzifikia huchukua muda, na pia unahitaji uamuzi mgumu na ...
JUZI Simba ilitoa ripoti ya kumkosa kipa namba moja, Moussa Camara, kwa kati ya wiki nane hadi 10 ikiwa siyo taarifa njema ...