Yanga imefikisha pointi 10 baada ya kushinda mechi zake tatu na kutoa sare moja, ikiwarudisha Simba hadia nafasi ya pili ikiwa na pointi tisa, sawa na Pamba Jiji iliyo nafasi ya tatu.
MAMBO yanabadilika. Hivyo ndivyo unavyoweza kusema unapoizungumzia Mtibwa Sugar ya sasa kutokana na kuingia kwenye mfumo wa ...
Hatua ya Yanga kuichukua hoteli hiyo itaifanya FAR Rabat kuangukia hoteli nyingine (jina tunalo), ambayo ilitumiwa na wenzao ...
MIONGONI mwa viungo wanaofanya vizuri kwenye kikosi cha Coastal Union ni pamoja na Bakari Msimu ambaye ni msimu wake wa tatu kuitumikia timu hiyo akipandishwa kutoka kikosi cha vijana.
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Wanawake Bara, JKT Queens wametupwa nje kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya ...
AKIWA na miaka takribani minane tangu ametoka kisanii, muziki wa Mario unaendelea kuwafikia mashabiki wapya kila siku, huku ...
KIUNGO mshambuliaji wa Fountain Gate, Jimmyson Mwanuke amezitaja Simba na Singida Black Stars kuwa ndizo timu ambazo ...
MABINGWA wa soka wa Ufaransa na Ligi ya Mabingwa Ulaya, Paris St-Germain wameripotiwa kutengeneza mchakato madhubuti kabisa ...
KATIKA maisha kuna ndoto ambazo huja mapema, lakini safari ya kuzifikia huchukua muda, na pia unahitaji uamuzi mgumu na ...
JUZI Simba ilitoa ripoti ya kumkosa kipa namba moja, Moussa Camara, kwa kati ya wiki nane hadi 10 ikiwa siyo taarifa njema ...
MAMBO si mazuri kwa kocha wa zamani Azam FC, Bruno Ferry baada ya kuondolewa nchini Angola kwa hati ya dharura kutokana na ...
SUPASTAA, Cristiano Ronaldo kijasho kinamtoka kwa sasa juu ya uwezekano wa kukutana na adhabu ambayo inaweza kumfanya akose ...