Kiungo wa timu ya Juventus Paul Pogba amesimamishwa kucheza kandanda kwa muda baada ya kukutwa na kosa la kutumia ya dawa za kusisimua misuli. Uamuzi huo umechukuliwa na Mahakama ya kitaifa ya Italia ...