Kutoka kwa mwandishi wetu maalum huko New York, Maji ni kiini cha maendeleo endelevu na ni muhimu kwa maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Pia ni kiini cha kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.
Kila mwaka, mamilioni ya watu duniani kote hukusanyika kwa ajili ya Siku ya Dunia kusherehekea harakati za mazingira. Maadhimisho ya siku hii yalinza mwaka 1970 nchini Marekani, na sasa imekuwa siku ...
Rais wa Jamuhuri ya Tanzania, Samia Suluhu, ametoa wito kwa viongozi wa dini kutangaza injili ya utunzaji na uhifadhi wa mazingira kwa wafuasi wao. Rais Samia ameeleza ujumbe wa utunzi wa mazingira ni ...
TABORA: SERIKALI imezitaka taasisi za umma, washirika wa maendeleo na jamii kushirikiana kikamilifu katika utekelezaji wa ...