Katika miaka ya 1980 na 1990, Wamisri wengi waliitazama tamthilia Raafat Al-Haggan, ambayo ilieleza maisha ya jasusi Mmisri aliyefanya kazi ndani ya Israel na kutuma taarifa kwa nchi yake, Misri.
Miaka ya 1980 na mapema ya 1990, mamilioni ya Wamisri walikuwa wakikusanyika mbele ya runinga zao kila mara kuangalia tamthilia ya "Raafat Al-Hagan" iliporushwa hewani. Walimtazama jasusi huyo wa ...