Kwa muda mrefu wakazi wengi wa jiji la Nairobi wamekuwa wakichangamkia zawadi za rangi nyekundu kila tarehe 14 Februari. Siku ya Wapendanao, watu huvaa nguo nyekundu, rangi inayoashiria mapenzi, au ...
Mtaa wa 'Old Town' mjini Bonn huwa kivutio kikubwa kwa wenyeji na hata wageni msimu wa machipuko unapowadia. Hii ni kutokana na maua ya 'cherry' ambayo huchanua na hivyo kutengeneza mandhari ya ...
Usiku usio na mwezi katika mji wa Naivasha, kando ya ziwa nchini Kenya, Anne ameketi ndani ya nyumba yenye vyumba viwili, akiwa amechoka baada ya kazi ngumu ya kuchuma na kupanga maua ya waridi. Anne ...