Japan imeidhinisha mpango wa kuachilia zaidi ya tani milioni moja za maji machafu kutoka katika kiwanda kilichoharibiwa cha nyuklia cha Fukushima yaingie ndani ya bahari. Maji hayo yatawekewa dawa ya ...
Maelezo ya picha, Maji ya visima nchini China ni machafu mno Serikali ya China inasema kuwa zaidi ya asilimia 80 ya maji ya maji ya kina kifupi yaliyo chini ya ardhi ni machafu mno na hata hayaweza ...
Shirika la UNICEF limesema zaidi ya watoto 1,000 walio chini ya umri wa miaka 5 hufa kila siku ulimwenguni kote kutokana na magonjwa yanayosababishwa na maji machafu. Ripoti hiyo ya shirika la UNICEF ...
Mataifa kadhaa duniani yanasema yatachunguza maji machafu ya ndege zinazoruka kutokea China ili kujuwa kiwango cha maambukizo ya UVIKO-19 na endapo kuna aina mpya za virusi hivyo katika taifa hilo la ...
Dunia inapoadhimisha siku ya kimataifa ya maji Machi 22 ,ukosefu wa maji safi kwenye jamii ni tishio kubwa la kiafya hasa kwa wakimbizi. Hali hii imesababisha jamii zinazokosa maji safi kukabiliwa na ...