SIMBA inafanya mambo yake kimyakimya na tayari imeshaanza kukusanya mastaa wa kigeni ikishusha kiungo mmoja wa kazi, akapewa ...
Kocha huyo mwenye umri wa miaka 50 aliiongoza Simba wa Atlas kufuzu kwa nusu fainali kwenye michuano ya kombe la Dunia nchini Qatar 2022, akiweka historia ya kuwa timu ya kwanza ya Afrika kutinga ...
Baada ya kukamilisha mechi za viporo za Ligi Kuu soka Tanzania bara, Kocha wa Simba, Fadlu Davids ameeleza mipango inayofuata katika fainali ya kombe la shirikisho barani Africa dhidi ya RS Berkane.