Kuanza kwa vikao vya Bunge la 13 la Tanzania kumeibua mjadala mpana, huku vyama vya upinzani, wachambuzi na wananchi wakitoa maoni yanayokinzana kuhusu uhalali, nguvu na mustakabali wa bunge hilo.
DAR ES SALAAM; Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Zungu, amesema nchi haiwezi kujengwa kwa maandamano na kwamba amani ni jambo muhimu kwa maendeleo ya nchi. Ametoa kauli hiyo Dar es Salaam leo kwenye m ...
(Nairobi) – Mamlaka nchini Tanzania imewakamata au kuwatishia takribani watu 22 tangu Juni 10, 2023, ikiwa ni pamoja na waandamanaji, baada ya kulikosoa Bunge la Tanzania juu ya kuidhinisha mkataba wa ...
Kamati ya Bunge la Ulaya kuhusu haki za binadamu imefanya kikao cha kusikiliza hali ya haki za binadamu nchini Tanzania. Kwenye kikao hicho imesikiliza ushahidi uliotolewa na mke wa mwenyekiti wa ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results