Mara nyingi ni rahisi kusafiri bara moja hadi jingine, kuliko kusafiri kutoka nchi moja hadi nyingine ndani ya Afrika. Kwa ulinganisho wa haraka, kusafiri kutoka mji mkuu wa Ujerumani, Berlin, hadi ...
Wakati visa vya maambukizi ya maradhi ya COVID-19 vikizidi kuongezeka katika maeneo mengi ulimwenguni, bara la Afrika linakabiliwa na ugumu katika kuamua kuhusu iwapo mataifa yaruhusu ndege za ...
Wataalamu wanasema kukosekana kwa uadilifu, ukaguzi duni na sababu za hali ya hewa vinachangia ajali hizo na kuwaweka hatarani abiria wanaotegemea usafiri wa angani. Katika miezi ya hivi karibuni, ...
Hati kutoka kwa Shirika la Usalama wa Usafiri wa Anga barani Afrika na Madagascar (Asecna) ya tarehe 7 Februari na kuchapishwa kwenye mtandao, inathibitisha kufungwa kwa anga ya Niger kwa safari za ...